FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2016 RESULTS

FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) 2016 RESULTS

Matokeo Ya Form Two
Katika matokeo ya kidato cha pili, yaliyotangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), shule ya Tusiime ikiwa na jumla ya wanafunzi 286 waliofanya mtihani wa kidato cha pili, wanafunzi 12 tu wamepata daraja la pili na wengine wote kupata daraja la kwanza.
wanafunzi 101 wamepata daraja la kwanza la pointi saba (Devision 1.7) ikimaanisha kuwa wamepata alama A kwenye masomo saba au zaidi.
Matokeo hayo yanaonyesha kuwa hakuna mwanafunzi wa shule hiyo aliyepata daraja la tatu wala daraja la nne
Kwa kifupi Shule ya Tusiime imefanya kama ifatavyo:

SEX DIVISION
I II III IV REFERRED
F 101 8 0 0 0
M 171 4 0 0 0
TOT 272 12 0 0 0

 

 

FTNA-2016