PSLE 2015 Examination Results – TUSIIME YAONGOZA KIWILAYA DARASA LA SABA

PSLE 2015 Examination Results – TUSIIME YAONGOZA KIWILAYA DARASA LA SABA

Tusiime kinara wa matokeo ya mtihani darasa la saba katika wilaya ya Ilala

Kwa mujibu ya matokeo yalitotangazwa na katibu mtendaji wa baraza la mitihani la taifa (NECTA),wanafunzi wote 198 wa shule ya tusiime waliofanya mtihani wa kumaliza la saba septemba mwaka huu, wamefaulu na shule kupata wastani wa daraja A.

Katika matokeo hayo, shule ya kwanza mkoani Dar es salaam ilikuwa na wanafunzi 27, ya pili wanafunzi 55 na Tusiime ya tatu ikiwa na wanafunzi 198.

Shule ya Tusiime imefanya kama ifatavyo

Waliofanya mtihani : 198
Wastani wa shule : 225.367
Nafasi ya shule kiwilaya : 1 kati ya 103
Nafasi ya shule kimkoa : 3 kati ya 534
Nafasi ya shule kitaifa : 32 kati ya 16096

Katika wanafunzi 198 waliofanya mtihani huo,
197 wamepata wastani wa daraja A na mmoja daraja B

 

PSLE-2015