PSLE 2017 Examination Results

PSLE 2017 Examination Results

Matokeo ya mtihani ya darasa la saba 2017 kwa shule ya Tusiime.
Shule imefanikiwa kutoa wanafunzi wawili top 10 ya taifa kwa upande wa wavulana na wasichana. kwa ufupi matokeo yake ni kama ilivyoainishwa hapo chini.

TUSIIME PRIMARYSCHOOL – PS0202083
WALIOSAJILIWA : 200
WALIOFANYA MTIHANI : 200
WASTANI WA SHULE : 218.2750
KUNDI LA SHULE : Watahiniwa 40 au zaidi
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIWILAYA: 1 kati ya 90
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KIMKOA : 3 kati ya 433
NAFASI YA SHULE KWENYE KUNDI LAKE KITAIFA : 20 kati ya 9736