Tusiime kinara wa matokeo ya mtihani darasa la saba

Tusiime kinara wa matokeo ya mtihani darasa la saba

Tusiime kinara wa matokeo ya mtihani darasa la saba Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla 2013

Kwa mujibu ya matokeo yalitotangazwa na naibu katibu mtendaji wa baraza la mitihani la taifa (NECTA), Dr. Charles Msonde shule ya Tusiime imekua katika nafasi kama ifuatavyo,

Number 1 kwa wilaya ya Ilala kati ya shule 99
Number 1 kwa mkoa wa Dar es Salaam kati ya shule 486
Number 2 kitaifa kati ya shule 15656

katika wanafunzi 158 waliofanya mtihani huo,
157 wamepata wastani wa daraja A na mmoja daraja B
124 wamepata alama A kwa masomo yote matano (straight A)

katika wanafunzi 158,Shule imepata wastani wa alama 230.0063 kati ya 250 ambapo shule ya kwanza kitaifa yenye wanafunzi 50 imepata wastani wa alama 230.8800