Nafasi za kujiunga kidato cha kwanza 2020

Nafasi za kujiunga kidato cha kwanza 2020

Shule ya Sekondari Tusiime inawatangazia nafasi za kujiunga kidato cha kwanza 2020

Fomu za kujiunga zinapatikana

Tusiime Secondary school-DSM Simu: 0652227792, 0754421215,  0713371231,  0784919670
Msimbazi Centre chumba namba 9 na 19-DSM Simu:  0689 973 848/0689 384 819
Ms. Rose Precision Air Office (Bukoba) Simu:  0787616806, 0765017601
Ms, Mariana Mothers Traver Agency Airport (Mwanza) Simu: 0785874558, 0655672404
Au Pakua Fomu za Kujiunga Hapa

Gharama ya Fomu ya maombi (Application Form) ni Shilingi 30,000/=

UTARATIBU WA KUJIUNGA
Hatua 1
Hatua 2
Hatua 3
Hatua 4

Zingatia

  • Kutakuwa na Mafunzo ya awali ya kujiandaa na Kidato cha kwanza (Pre –Form One Course) yatakayogharamiwa na mzazi. Mafunzo haya ni muhimu sana kwa ajili ya kumjengea mwanafunzi msingi imara wa kujiandaa kuanza kidato cha kwanza.
  • Kwa wale wanafunzi watakaoonekana kufanya vibaya katika mtihani wa usaili, watatakiwa kujiunga na mafunzo haya ya awali kwa lengo la kupata nafasi ya kujiunga na shule yetu.
  • Hata hivyo, kutokana na umuhimu wa mafunzo haya ya maandalizi kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, vilevile mwanafunzi atakayefanya vizuri mzazi unashauriwa mwanao asome masomo haya ya maandalizi ili kuzidi kumjengea msingi imara badala ya kumuacha akae nyumbani.
  • Masomo haya yataanza tarehe 23/09/2020.
  • Nafasi zipo za kutwa na bweni. Wanafunzi wa bweni watatakiwa kuripoti 20/09/2019 kuanzia saa 2.00 asubuhi na wanafunzi wa kutwa watatakiwa kuripoti tarehe 23/09/2019 saa 1:30 asubuhi.
  • Muda wa mafunzo haya ni miezi mitatu ( Kuanzia tarehe 20/09/2019 – 20/12/2019).