PSLE 2018 Examination Results

PSLE 2018 Examination Results

Shule ya Tusiime iliyopo Segerea jijini Dar es Salaam, imeendelea kufanya vizuri katika matokeo ya kitaifa ya darasa la saba kwa kuendelea kufaulisha idadi kubwa kwa daraja la juu bila kufelisha mwanafunzi hata mmoja.
Na pia Tusiime imafanikiwa kutoa wanafunzi wawili katika Wasichana kumi bora kitaifa na mmoja katika wavulana kumi bora
Matokeo hayo ni kama ifatavyo:

TUSIIME PRIMARY SCHOOL – PS0202083
WALIOFANYA MTIHANI : 243
WASTANI WA SHULE : 229.0247
KUNDI LA SHULE : Wanafunzi 40 au zaidi
NAFASI YA SHULE KIWILAYA: 1 kati ya 90
NAFASI YA SHULE KIMKOA : 2 kati ya 448
NAFASI YA SHULE KITAIFA : 13 kati ya 10090